Habari njema kwa wapenzi na watumiaji wa Os za Microsoft, Microsoft wametangaza tarehe rasmi ambayo Operating system yao ya #Windows10 itaanza kuuzwa rasmi duniani kote.
Ni mda sasa tangu OS hiyo ilipokuwa katika kipindi cha majaribio ambapo watumiaji wa simu za Windows phone na PC zinazokubali Windows Os waliweza kudownload #Windows10InsiderPreviewhandy ili kuweza kuijaribu OS hiyo.Microsoft wamefanya mabadiliko makubwa katika Os hiyo kwa kuboresha baadhi ya vitu na kuongeza vitu Vingine.