Showing posts with label Maendeleo. Show all posts
Showing posts with label Maendeleo. Show all posts

Wednesday, August 03, 2016

Hatimaye China yakamilisha utengenezaji wa basi kubwa linaloweza pita juu ya magari mengine.

No comments

Transit Elevated Bus (TEB)

Wengi tulishuhudia video zikitawala mitandao ya kijamii kwamba kuna basi kubwa linaloweza beba watu wengi (abiria 300 kwa makadirio)lakini pia linaweza ruhusu magari mengine kupita chini yake, nasi sote tukazani ni uwongo au ni wazo ambalo halitaendelezwa.
Hatimaye nchi ya china imeweka historia  baada ya kukamilisha Utengenezaje wa usafiri huo ambao utaanza jaribiwa na kutumika hivi karibuni.

Basi hilo lililopewa jina la Transit Elevated Bus (TEB), linauwezo wa kubeba abiria 300 ,lina upana wa futi 25 na urefu wa futi 72. Pia basi hilo lina speed inayofikia 64Km kwa saa.


Baada ya china kutengeneza basi hili nchi kama Brazil, France, India na Indonesia zimeonesha nia ya kuwa na usafiri kama huo.
Kwa jinsi jiji la dar es salaam lilivyo na foleni, usafiri huu ungefaa sana.


Jionee video inayoelezea zaidi kuhusu usafiri huo.



kuona video nyingi zaidi za uzinduzi wa basi hilo ingia hapa:: zhongguowangshi.com

Imeandaliwa na @blessmgongolwa
read more

Monday, September 28, 2015

Rais Barack Obama Asoma barua ya binti Eva kutoka Tanzania

No comments

Hatimaye barua iliyoandikwa na binti Eva mwenye miaka 15 kutoka Tanzania imesomwa na Rais Barack Obama wa Marekani wakati wa kilele cha kikao mojawapo cha umoja wa mataifa.
Katika barua hiyo Eva amejaribu kuongelea mambo mbalibali kuhusu mipango na malengo ya milenia

Ifuatayo ni barua ya Eva iliyotafsiriwa kwa kiingeleza, picha za barua halisi zipo chini yake:-

"Dear President Obama
My name is Eva, I am 15 years old from [a rural village in] Tanzania. 2015 is the year that we set the Sustainable Development Goals and I want to ask you if you’ll do something amazing for me and every girl in the world.

My dream is to be an educated girl because there is nothing we can enjoy without education. I want to see every single girl in the world being educated so we can all achieve our big dreams.


This year I finished my primary education. It’s not been easy - my parents have not always been able to pay for my uniform and textbooks - but I did it and I’m really proud. I will do whatever it takes to graduate from any university so that I can achieve my dream to become a police woman and take care of the community. It is difficult to study at night because we don’t have power and I can’t go through my notes in darkness. I spend almost the whole day at school without having any meals and it makes me lose my concentration. I am worried that it will affect my performance and I won’t be able to pass my exams - but my father is working extremely hard to find more resources for my studies and I won’t let him down.


I see many challenges in my village. My family lives off our farm and in the past three years we have not had enough crops due to changes in the local climate. We don’t have a water system in this community so we rely on rivers which go dry for many months sometimes we cannot wash for four days at a time. Some people are benefiting from the government power supply projects in remote areas but there are few and many lack power still. There are also many challenges facing girls. We are not valued and our opinions are not heard. Many girls as young as 13 are being forced to marry and are not allowed to go to school. We are the ones who fetch water and firewood from the forest.


I would like to ask what will you and the global leaders will do to ensure that every single girl in my village and Africa has better access to clean water, resources, and education, and to ensure the Goals are delivered?


I was born in 2000, the same year the Millennium Development Goals were set. This year, as I turn 15, you and the other global leaders will agree a new plan for a better world. I know that I and my fellow girls in my village can play a great role in implementing the SDGs in this community once empowered and most importantly given the chance.


What will you commit to doing to help young people actually lead development?


- Eva
" 


picha za barua halisi kutoka kwa Eva




read more