Kwa wapenzi wa games za X-BOX, angalia Trailer ya gemu ya Halo 5: Guardians itakayoanza kupatikana tarehe 27 mwezi huu kwa x-box one.
Game hii imeandliwa na kampuni ya Microsoft wakishirikina na 343 studios. Kama ni mpenzi wa games hizi unaweza weka pre-order HAPA