Tuesday, September 15, 2015

Dj Fetty aacha utangazaji

No comments

Ukitaja list ya watangazaji waliofanikiwa kwa Tanzania na Africa mashariki huwezi kumsahau Dj Fetty.

Mtangazaji huyo ambaye jina lake halisi ni Fatma Hassan, alijipatia umaarufu kupitia vipindi vya Bongofleva na xxl vyote vikirushwa hewani na kituo pendwa cha redio Clouds.

Dj Fetty leo ametangaza lasmi kuacha kazi ya utangazaji na kuamishia nguvu zake katika biashara.

Wakati Dj Fetty akitangaza kuacha utangazaji, kijana mahili Kened the remedy aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha the cruise cha ea radio amejiunga rasmi na timu ya kipindi cha xxl cha clouds fm.

Picha kwa hisani ya: millardayo.com