Monday, October 12, 2015

Trailer: Hail, Caesar! - Movie trailer

No comments

Hail, Caesar ni movie yenye comedy,drama na music ambayo imetayarishwa kwa ustadi mkubwa, ikielezea maisha ya watengeneza filamu na mikasa wanayokutana nayo wakati wa utengenezaji wa filamu hizo. Mkasa mkubwa katika filamu hii ni pale Muigizaji mkuu wa filamu iliyokuwa inaandaliwa kutekwa.

Hail, Caesar! itaoneshwa kwa mara ya kwanza tarehe 5/2/ 2016. Starrings: Josh Brolin, George Clooney, Scarlett Johansson, Channing Tatum, Ralph Fiennes, Jonah Hill, Frances McDormand, Tilda Swinton, Dolph Lundgren, na  wengine wengi.

Angalia Trailer yake hapa chini: