Tuesday, October 13, 2015

Kampuni ya Pepsi kuanza kuuza smartphones zao

No comments

Watu wengi wanafahamu kuwa kampuni ya pepsi imejikita katika utengenezaji wa bidhaa za vinywaji na vyakula, lakini sasa tutegemee bidhaa nyingine kutoka kampuni hiyo.
Ukurasa wenye maelezo yakuaminika kuwa kampuni ya Pepsi itaanza kutengeneza smartphones zao umevuja hivi karibuni huko china.
Kulingana na ukurasa huo simu hizo zitajulikana kwa jina la Pepsi P1 na zitakuwa na sifa zifuatazo:-

- 7.7 mm thick5.5-inch,
- 1,920 x 1,080 pixel (full high definition (FHD), aka 1080p) display
- MediaTek, Inc. (TPE:2454) MT6592 system-on-a-chip (SoC) with ARM Holdings plc (LON:ARM) tech:
-8x 1.7 GHz Cortex-A7 CPU cores
- 700 MHz Mali-450 GPU2 GB
- DRAM16 GB
- NAND flash storage
- 13 megapxiel rear-facing camera (RFC)
- 3,000 mAh battery
- TD-LTE/LTE
- Price: ~$205 USD ( 545000 Tshs )
Kampuni ya pepsi imesema kuwa ni kweli simu hizo zinakuja hivi karibuni baada ya ku comment kwenye tovuti ya Reuters kuhusu kifaa hicho.
Je, utakuwa tayari kumiliki simu hii  kutoka kampuni ya pepsi pindi zitakapoanza kupatikana Tanzania ???

picha ya ukuras huo: